Leo April 17 nimezipokea taarifa nzuri kutoka kwa meneja wa Diamond Platnumz kuhusu msanii Raymond ‘RayVanny’ wa WCB kupata mtoto. Sallam alitumia ukurasa wake wa Instagram kumuandikia Rayvanny hongera kwa kupata mtoto.
“Hongera mwanangu @rayvanny kwa kupata mtoto (My Favorite Artist WCB) najua unatamani kuwepo kumuona mwanao ila fanya kazi Kijana wangu!!”>>>> Sallam Sk
RayVanny alitumia ukurasa wake wa Instagram kumpongeza mpenzi wake kwa kuwa mama kwa kuandika
“Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto NAKUPENDA!!” >>> Rayvanny
source:millardayo
Tuandikie Maoni Yako Hapa Chini. Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video za kufurahisha na kuvunja mbavu.
0 comments:
Post a Comment