Mchezo wa kutafuta nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia 2018 linalotaraji kufanyika nchini Urusi kati ya Brazil na Argentina umemalizika kwa wenyeji Brazil kuibua na ushindi wa goli 3-0.
Magoli ya Brazil yamefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 25, Neymar dakika ya 45 na Paulinho katika dakika ya 59 ya mchezo huo.
Kwa ushindi huo, Brazil imefikisha alama 24 ikiwa katika nafasi ya kwanza, ikifuatiwa na Uruguay yenye alama 23, Colombia ikishika alama ya tatu na alama 18 huku Argentina ikiwa nafasi ya sita na alama 16.
Matokeo ya michezo mingine ni;
Colombia 0 – 0 Chile
Uruguay 2 – 1 Ecuador
Paraguay 1 – 4 Peru
Venezuela 5 – 0 Bolivia
Colombia 0 – 0 Chile
Uruguay 2 – 1 Ecuador
Paraguay 1 – 4 Peru
Venezuela 5 – 0 Bolivia
0 comments:
Post a Comment