Friday, November 11, 2016

ALICHOANDIKA ALIKIBA BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI HALALI WA TUZO YA MTV EMA BEST AFRICAN ACT

Imetangazwa rasmi na waandaaji wa tuzo hizo za MTV EMA kuwa Alikiba ndiye mshindi halali wa tuzo ya MTV EMA category ya Best African Act.
Kupitia kurasa yake ya instagram Alikiba ameamua kuchukua nafasi ya kuwashukura watu wake wa karibu pamoja na mashabiki zake kwa sapoti ambayo wanampa hadi kuhakikisha ameipata tuzo hiyo.




Source:perfect255

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video




0 comments:

Post a Comment