Morogoro itazizima siku ya kesho baada ya msanii wa Bongo Fleva aliye chini ya Tiptop Connection Captain Tundaman kufunga ndoa pande hizo.
Usiku wa jana ilikuwa ni sherehe ya send-off, sherehe ambayo ilihudhuriwa na mastaa kadhaa pamoja na ndugu na rafiki wa karibu wa msanii huyo.
0 comments:
Post a Comment