October 3 mwaka 2015 ndio siku ambayo msanii wa Hiphop Tanzania Roma Mkatoliki alifanikiwa kufunga pingu za maisha na mwanamke ambaye alikuwa na mahusiano naye kwa muda mrefu hadi kufanikiwa kupata mtoto.
Leo wawili hao wanatimiza mwaka mmoja katika ndoa yao, ni jambo zuri na lenye kustahili pongezi, Kila la kheri kwa wawili hao.
0 comments:
Post a Comment