Thursday, September 29, 2016

RONALDO AUTAKA UMENEJA BAADA YA SOKA

Watu husema kuna maisha baada ya soka ama kitu husika ulichonacho lakini msemo huu hutumika kama kumkumbusha mtu afanye awezavyo ila anachokifanya kina mwisho, hivyo kama unafanya kazi ujue kuna siku lazima utaondoka ama hata ukiwa katika soka ipo siku utastaafu hivyo baada ya maisha hayo unaenda wapi ?.


Cristiano Ronaldo amesema kuwa anandoto za kuwa meneja wa soka baada ya kazi yake ya kucheza mpira. Nyota huyu pia umebaini katika mahojiano yake na kituo kimoja na ameweka wazi  kuwa anaamini Klabu yake ya Real Madrid inaweza kufanya kitu kikubwa msimu huu haswa kuiga mafanikio ya ligi ya Mabingwa kama msimu uliopita.

Hii imekuja baada ya kushukuru uongozi wa soka aliowahi kupitia hivyo sio rahisi  kwake kusahau kufundisha.


0 comments:

Post a Comment