aliyewahi kuhit na ngoma kama ‘Niite Basi’ anajipanga kuachia video ya wimbo wake mpya ambao ameshoot hivi karibuni.
Wimbo huo ameupa jina la ‘Only You’. Mara ya mwisho muimbaji huyo aliachia wimbo wake wa Tesa Naye mwezi Mei mwaka 2014 aliomshirikisha rapper Stopa Rhymes.
Kupitia mtandao wake wa Instagram, muimbaji huyo ameandika,
“Yeah…the return of#Joslin… (ndoto yao)..” “Yeah…#Joslin you&i@charm_and_loyal_proya “ONLY YOU” ameandika kwenye picha nyingine aliyoiweka kwenye mtandao huo.
0 comments:
Post a Comment