Jana haikuwa siku nzuri kwenye tasnia ya Bongo fleva kutokana na taarifa za msiba walizozipata wasanii kutoka kwa msanii mwenzao Belle 9 kufiwa na Baba yake mzazi baada ya kugongwa na Bodaboda huko mkoani Morogoro.
Wasanii tofauti tofauti kupitia tasnia tofauti waliamua kushare hisisa zao na mashabiki kuhusu msiba wa Mzee wake Belle 9.
Wasanii tofauti tofauti kupitia tasnia tofauti waliamua kushare hisisa zao na mashabiki kuhusu msiba wa Mzee wake Belle 9.
Tuandikie Maoni Yako Hapa Chini. Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video za kufurahisha na kuvunja mbavu.
0 comments:
Post a Comment