Tuesday, April 11, 2017

TRAILER LA MOVIE YA THOR ‘THOR RAGNAROK’

Thor Ragnarok imekuwa directed na Taika Waititi, ndani ya movie tunakutana na mastaa wengine kama Cate Blanchett, Idris Elba, Jeff Goldblum, Tessa Thompson na Karl Urban, Movie hiyo inatarajiwa kutoka November 3
Image result for thor ragnarok
Hebu Enjoy nayo hapa chini.


Tuandikie Maoni Yako Hapa Chini. Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video za kufurahisha na kuvunja mbavu.

0 comments:

Post a Comment