Friday, April 14, 2017

Mwigulu Nchemba baada ya kutembelea eneo walilouawa askari 8

Wakati jioni ya April 13 2017 Wilayani Kibiti katika Mkoa wa Pwani, iliripotiwa kuwa watu wanaosadikika kuwa majambazi ambao haijafahamika idadi yao wakiwa na silaha walishambulia kwa risasi gari la polisi na kuwaua askari nane na kumjeruhi mmoja
Waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba  leo April 14 2017 ametembelea eneo hilo lilipofanyika tukio la mauwaji ya Askari nane wa jeshi la polisi na kusema kuwa waliotekeleza mauwaji hayo watalipa damu iliyo mwagika ya Askari hao nane walio poteza maisha.


source:millardayo
Tuandikie Maoni Yako Hapa Chini. Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video za kufurahisha na kuvunja mbavu.

0 comments:

Post a Comment