Friday, February 17, 2017

Thea aibua maswali baada ya kuonekana akiingia ofisi ya kamishna wa kupambana na madawa ya kulevya

Msanii mkongwe wa filamu Thea ameibua maswali kwa wadau wa mambo baada ya kuonekana mchana huu akiwa ofisi ya Kamishna wa operesheni wa mamlaka ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya iliyopo Upanga jijini Dar es salaam.

Thea akiwa ofisini hapo
Hivi karibuni wasanii mbalimbali wa filamu na muziki wamekuwa wakitajwa kuhusika katika sakata la biashara haramu ya madawa ya kulevya.


0 comments:

Post a Comment