Rais Dkt. John Magufuli, amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Iringa kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Mufindi ambaye pia alikuwa Waziri wa Elimu, Mzee Mungayi kilichotokea leo Novemba 8.2016.
Mwanasiasa huyo mkongwe nchini alikihama chama chake cha CCM na kujiunga na chama cha siasa cha CHADEMA katika harakati za uchaguzi mkuu mwaka 2015.
Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa
0 comments:
Post a Comment