Zikiwa zimesalia siku 3 kuweza kutangazwa tuzo kubwa kabisa za MTVEMA ambazo mwaka huu zitafanyika huko Uholanzi katika jiji la Rotterdam na unamjua atakaye sherehesha shughuli hiyo ? .
Bebe Rexha mzaliwa wa marekani ana miaka 27 ndiye atakaye kuwa msherehesjai kwa maana ya ‘MC’, hii itakuwa mara ya 3 tuzo hizi kufanyika Uholanzi na mara ya pili kufanyika katika mji wa Rotterdam ambapo ukumbi huo huo ilipofanyika mwaka 1997 katika mji huo mzuri kabisa .Biyonce ndiye aliebahatika kuwa ‘nominated’ sana katika vipengele vingi, na vipengele viko vyakutosha. Huku ikitazamiwa kufanyika show kali kutoka kwa One Republic, Rihana Bruno Mars na Tayrol Swift.
Kipengele kinachotazamiwa sana kile cha Afrika ambapo wapo wasanii mbalimbali kutoka nchi za Afrika ambapo Afrika Mashariki ametoka Ali Salehe Kiba huku Afrika Magharibi wametoka Cassper Nyovest, Olomide na mtaalam Wizkidayo wakati Kusini mwa Afrika ametoka Black Coffee. Sasa hawa nani kuibuka mshindi ndio imasubiriwa na kura zao zitamfungwa muda wowote. Wengi wana dhani kuwa Alikiba na Wizkid ndio watu walio katika mchuano mkali sana na huenda mmoja wapo ndiye atakuwa mshindi
Ratiba inaonesha Tuzo za African Act zitatangazwa majira ya saa tano usiku je kura zenu zinatosha kumpatia msanii wako umpendaye achukue tuzo hii kubwa ili apate heshima kubwa ?.
Source: mtembezi
0 comments:
Post a Comment