Thursday, November 3, 2016

MUSIC: KUTANA NA HII REMIX YA “KULIKO JANA” YA SAUTI SOL ILIYOFANYWA NA MAX MILLIAN PAMOJA NA YOUNG DEE


Kila mmpja ambaye ni mpenzi wa muziki mzuri naamini atakuwa anaifahamu ile “Kuliko Jana” yakwao Sauti Sol.
Sasa nakukutanisha na hii hapa remix ambayo imefanywa na Max Millian pamoja na Young Dee, yaani mtu na meneja wake.


Source: mtembezi

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video

0 comments:

Post a Comment