Thursday, November 3, 2016

MFALME WA OMAN ATANGAZWA KUWA KIONGOZI BORA WA DUNIA

Huku watanzania wakisubiri kutangazwa kwa Rais Magufuli kama ‘Person of the Year’ ikiwa ni mashindano yanayoandaliwa na jarida la Forbes, wananchi wa Oman wanafuraha kubwa baada ya Mfalme wao  Qaboos Bin Said Ali Said kutangazwa kuwa kiongozi bora wa Dunia.

Kiongozi huyo amechaguliwa na jopo la wataalamu kutoka mashirika mbalimbali ya kimataifa ya huduma za kiraia na kuona kuwa kiongozi huyo ndiye anastahili kupewa hadhi hiyo, kiongozi ametawala taifa hilo tangu 1970.

Source: mtembezi.

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video

0 comments:

Post a Comment