Thursday, October 27, 2016

Video: Wiz Khalifa & Taylor Gang – Sleep At Night

Rapper Wiz Khalifa na kundi lake la Taylor Gang wameachia video mpya ya wimbo “Sleep at Night”, kutoka kwenye album ya TGOD Volume 1. ambayo itakuwa na nyimbo 23 ikiwa na wasanii kama Ty Dolla $ign, Juicy J, Berner, Chevy Woods, na Raven Felix.

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video




0 comments:

Post a Comment