Wednesday, October 5, 2016

MWANA FA ATAJA NGOMA ZA MWAKA 2016 BORA ZAIDI, WASANII WA NJE ANAOTAMANI KUFANYA NAO KAZI NA REMIX YA ASANTENI KWA KUJA


Mwana FA amefunguka majina ya wasanii wa nje anaotamani kufanya nao kazi na ngoma za Bongo Fleva zilizotoka mwaka 2016 anazozikubali zaidi.
Mkali huyo wa ‘Asanteni kwa kuja’ amemtaja 2face Idibia na Tory Lanez kama wasanii wa njea anaotamani kufanya nao kazi alipokuwa akijibu maswali ya mashabiki wake Twitter.
Pia FA amesema Aje, Too Much na Chafu Pozi ndio ngoma bora zaidi kwake kwa mwaka 2016.

Pia Mwana FA amethibitisha ujio wa Remix ya ‘Asanteni kwa kuja’ na amesema tayari ameshoot video mpya mbili bado kuziachia tu.


0 comments:

Post a Comment