Linah ameachia video ya wimbo wake ‘Raha jipe mwenyewe’, Hii inakuwa video ya pili tunamwona mshindi wa Big Brother 2014 na mchekeshaji, Idirs Sultan.
Video ya kwanza staa huyo kutokea ilikuwa ‘Wanjera’ ya Ommy Dimpoz. Video hii imeongozwa na director, Khalfani Khalmandro.
0 comments:
Post a Comment