Monday, October 31, 2016

Hamilton ashinda Mexican Grand Prix

Dereva Muingereza Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda Mexican Grand Prix, huku dereva mwenzake wa Mercedes Mjerumani Nico Rosberg akimaliza wa pili na namba 3 akikamata Sebastian Vettel wa Ferrari.


39e3bba400000578-3887814-image-a-30_1477863197388
39e3c03d00000578-3887814-image-a-27_1477863171350Rosberg bado yupo kileleni akimpita Hamilton kwa pointi 19 huku zikiwa zimebaki mbio 2 tu.




Source: bongo5

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video







0 comments:

Post a Comment