Saturday, October 1, 2016

Hali ilivyo uwanja wa Taifa katika mageti ya kuingilia Yanga vs Simba

Leo October 1 2016 ni siku ambayo mashabiki wa soka Tanzania watapa nafasi ya kuangalia mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba, huu ni mchezo wa kwanza  wa round ya Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017, changamoto ya mfumo wa electronics tiketi ulisababisha mashabiki kukanyagana.









0 comments:

Post a Comment