Miaka michache iliyopita Ay alitangaza kuwa na collabo na rapper wa Marekani Tyga, kama ulidhani hiyo collabo haipo Ay ana hili la kukwambia.
Akiwa anajibu maswali ya mashabiki wake Twitter, Ay amesema collabo hiyo ipo na muda ukifika ataiachia.
Ay pia alisema ana ngoma mpya na producer maarufu wa Afrika kusini,Dj Maphorisa.
0 comments:
Post a Comment