Hiki hapa ndio kile kichupa kilichokuwa kikisubiriwa kwa muda mrefu sasa kutoka kwa wakali wawili wa Rockstar 4000.
Ngoma inaitwa “Nisamehe” yakwake Barakah Da Prince akiwa kamshirikisha Alikiba, na hii hapa chini ndio official video ya ngoma hiyo. Enjoy nayo.
0 comments:
Post a Comment