Friday, September 30, 2016

THE WEEKND ALA SHAVU LA KUWA BALOZI WA KAMPUNI HII


The Weeknd muda mfupi baada ya kuachia single yake mpya ‘Starboy’ huku akijianda kuachia album mpya tayari ameanza kula mashavu.
Raia huyo wa Canada mwenye asili ya ethiopia ametangaza kuwa balozi wa kampuni ya Puma, The Weeknd hatokuwa balozi wa kampuni hiyo tu bali atashiriki hadi kwenye ubunifu wa bidhaa za kampuni hiyo ambapo pia atakuja na pair za ‘Snekaer’ mwaka 2017, kwenye video yake mpya ya ‘Starboy’ amezivaa
Rihanna pia ni mbunifu wa kampuni hiyo ambapo ameshaachia misimu miwili ya nguo zake akishirikiana na kampuni hiyo pamoja na Viatu ‘Puma Fenty’

0 comments:

Post a Comment