Ni mwimbaji staa wa bongofleva, Rayvanny kutoka WCB ambaye ngoma yake ya kwanza kuiachia toka yuko chini ya lebo ya WCB aliiachia ‘kwetu‘ April 2016, ameingia kwenye headlines leo September 30 2016 baada ya kufunguka kuhusu DiamondPlatnumz kwenye instagram yake kama kutoa shukrani kwa staa huyo ambae yuko chini ya lebo yake.
Haya ndio maneno ya Rayvanny alioyaandika kama salam kwa Diamond Platnumz
>>>’Mengi yako Moyoni Mwangu.lakini kiukweli siamini hapa nilipo.nilikata tamaa,sikujiamini tena kama ntaweza kufika.kuna muda nilijiona sina bahati hadi nikaanza kuichukia sauti yangu.lakini wewe ulinishika mkono nakunionyesha njia mengi umenielekeza haukuishia hapo ukaona unipe nafasi tufanye kazi moja mimi na wewe#SALOME . Am so proud of you@diamondplatnumz #SALOME full video link in my bio
0 comments:
Post a Comment