Thursday, September 29, 2016

FUTURE AUNGANA NA DIAMOND NA ALIKIBA KUTUMBUIZA KWENYE TUZO ZA MAMA 2016

Rapper wa Marekani, Future ataungana na Diamond, Alikiba na wengine kutumbuiza kwenye tuzo za MAMA, Oktoba 22 jiji Johannesburg, Afrika Kusini.


Wasanii wengine watakashambulia jukwaa la Tuzo hizo ni pamoja na Cassper Nyovest, Patoranking, Yemi Alade, Nasty C na wengine.

0 comments:

Post a Comment