Ben Pol anaamini kuwa pindi msanii anapojisimamia mwenyewe, anapoteza ubunifu muhimu anaouhitaji ili kufanikiwa.
“Ni muhimu kwasababu kwanza ukifanya vitu vingi kwa msanii inachosha,
 inaua ule upande wa creativity kwenye utunzi labda, kujifikiria namna 
ya kujiboresha wewe kama msanii, sauti na vitu vingine,” Ben Pol 
alikiambia kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha EATV kwenye mahojiano ambayo 
hayakuruka kwenye TV (Extended).
“Inakula sana time, we uanze kupigia simu director, promota, yaani inakata sana, kwahiyo ni vizuri kuwa na either manager au timu ambao wanakuelewa unachotaka,” aliongeza.
Anadai kuwa ni muhimu kwa msanii kuwa na management au watu wa kumsaidia.
“Inakula sana time, we uanze kupigia simu director, promota, yaani inakata sana, kwahiyo ni vizuri kuwa na either manager au timu ambao wanakuelewa unachotaka,” aliongeza.
 
0 comments:
Post a Comment