September 28, 2016 ni siku ambayo 
anazaliwa mrembo na mwigizaji wa Filamu, Wema Sepetu ambapo pamoja na 
watu wengi kumtakia kila la kheri  yupo pia Mama mzazi wa Diamond 
Platnumz ambaye kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ya Mama 
yake Diamond akaisindikizia na maneno haya .. >>>Happy birthday.. Mamy akee @wemasepetu mungu akuongezee umri na akujali kheri akufungulie Mlango wa baraka kwa kila uliombalo.Amin
 

Wednesday, September 28, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment