Wednesday, December 14, 2016

Tegemea wimbo kutoka kwa Alikiba na Yvonne chaka chaka

Alikiba kakutana na mwanamuziki mkongwe kutoka Afrika kusini Yvonne Chakachaka.Wawili hao walikutana kwenye utumbuizaji wa Mkhaya awards.


Mkhaya awards ni tuzo zinazoandaliwa na wizara ya mambo ya ndani ya South Afrika kwajili ya wahamiaji wanaofanya vizuri kwenye nyanja mbali mbali pamoja na sanaa, Alikiba kaitumia fursa hiyo vizuri kwa kuingia studio na mkongwe huyo.
Kupitia ukurasa wake wa instagram, Alikiba ameandika haya
It was a great honor and pleasure to meet Mama Yvonne Chaka Chaka who I have loved and admired all my life . Thank you for hosting us and sharing your memories, advices and guidance. I am truly grateful and looking forward to our project #KingKiba


Source:perfect255
Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video



0 comments:

Post a Comment