Sunday, November 6, 2016

VIDEO: OMMY DIMPOZ FT. ALIKIBA – KAJIANDAE (OFFICIAL VIDEO)


Msanii wa Bongo fleva Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kajiandae’ akiwa ameshirikiana na Alikiba. Video ya wimbo huo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika tamasha la Fiesta lililofanyika Jumamosi hii.
Video imeandaliwa na director Justin Campos wa Afrika kusini.


Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video




0 comments:

Post a Comment