Tuesday, November 1, 2016

VIDEO: NIKKI MBISHI – BABU TALENT (WATCH)


Wiki iliyopita iliachiwa Audio ya ngoma hii, track ambayo baadhi ya watu waliichukulia kama dis flani hivi kwa meneja wa Diamond Platnumz pamoja na Tiptop Connection Babu Tale.
Ni kutokana na kitu ambacho Nikki Mbishi amekiimba humu ndani kumuhusu meneja huyo. Hiki hapa kichupa cha ngoma hiyo unaweza kuenjoy nacho kwa kuplay hapa chini.




Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video




0 comments:

Post a Comment