Ikiwa ni kipindi cha kusherehekea siku yake ya kuzaliwa msanii Iyanya ameamua kuwakosha mashabiki zake kwa kudropisha ngoma mpya ambayo amewashirikisha Don Jazzy pamoja na Dr Sid.
Ni katika studio za Mavin Records ndio ambako imefanyika ngoma hiyo huku Don Jazzy akisimama kama Producer. Enjoy nayo
0 comments:
Post a Comment