Tuesday, November 29, 2016

Rais wa Korea Kusini adai yuko tayari kujiuzulu

ais wa nchi ya Korea Kusini, Park Geun-hye ameamua kukubali matokea kwa kusema kuwa yupo tayari kujiuzulu.
30korea-2-master768
Rais Park Geun-hye wa Korea Kusini akitangaza kujiuzulu kwenye runinga ya taifa
Akiongea kupitia kituo cha runinga cha taifa hilo Jamanne hii, Rais Geun-hye amesema atajiuzulu lakini kwa kuliachia Bunge la nchi hiyo kuamua suala hilo.
“I am giving up everything now. I will leave it to the National Assembly to decide on my resignation, including the shortening of my presidential term,” amesema.
“If the governing and opposition parties inform me of the way to minimize the confusion and vacuum in state affairs and endure a stable transfer of power, I will step down as president according to their schedule and legal procedures.”
Ni takribani mwezi mmoja sasa wananchi wa Korea Kusini wamekuwa wakiandamana kumtaka Rais huyo kujiuzulu kutokana na kashfa ya rushwa pamoja na kuvujisha nyaraka za serikali kwa rafiki yake.

Source:bongo5

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video



0 comments:

Post a Comment