Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kufuatia ajali iliyosabaisha vifo vya watu 18 iliyotokea Novemba 6 mwaka huu.
Rais Magufuli atoa salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 18 Shinyanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kufuatia ajali iliyosabaisha vifo vya watu 18 iliyotokea Novemba 6 mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment