Monday, October 3, 2016

Vanessa Mdee na Alikiba kutumbuiza na Chris Brown Mombasa

Alikiba na Vanessa Mdee watapanda jukwaa moja na nyota wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris Brown.


Wawili hao watatumbuiza pamoja na Chris Brown, Oktoba 8, mwaka huu kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music.
“Mombasaaaaaa it’s ME N U this weekend. @mombasarocksfestival ðŸ‘ŒðŸ’œðŸŽ¤ðŸ‘‘ #Juu #Niroge,” ameandika Vanessa kwenye Instagram.
Nyota wa Nigeria, Wizkid naye atatumbuiza kwenye tamasha hilo kubwa.


0 comments:

Post a Comment