Skip to content
Waislamu hapa nchini Tanzania wameungana na waislamu wengine Duniani katika kusherekea Mwaka Mpya wa 1438 Hijiria, ambapo hapa nchini waumini wa dini hiyo wamejitokeza maeneo mbalimbali visiwani Zanzibar kusherekea siku hiyo, kama picha zinavyoonesha hapo chini.
0 comments:
Post a Comment