Wednesday, October 5, 2016

Music: Roma Ft. Geof Master – Ivan

Siku ya tarehe 4 October ni kumbukumbu ya kuzaliwa “IVAN” ambaye ni mtoto wa rapper Roma, ambaye alizaliwa miaka minne iliyopita wimbo unaitwa “Ivan” amemshirikisha Geof Master, Roma aliandika katika mtandao wake wa Instagram “Nimeamua kuRelease wimbo (Not officially Song) Ila tu kwa ajili yake na kwa ajili ya watoto wote wapate message iliyopo ndani”

0 comments:

Post a Comment