Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho baada ya kutoa matamshi ya kuhusu uteuzi wa mwamuzi anaeshabikia Manchester United. Anthony Taylor kwa mchezo wa ligi kuu England kati ya Manchester United dhidi ya Liverpool utakaochezwa leo jumatatu yatachunguzwa na Shirikisho la Mpira wa miguu nchini humo FA.
Mourinho alisema itakuwa vigumu kwa mwamuzi huyo kuchezesha vizuri baada ya uteuzi wake kukosolewa.
‘Mtu mmoja akiwa na lengo anaweka shinikizo kwake’ alisema Mourinho.
‘Mtu mmoja akiwa na lengo anaweka shinikizo kwake’ alisema Mourinho.
Ki kawaida makocha hawatakiwi kuzungumza lolote kuhusiana na mwamuzi kabla ya mchezo.
Anthony Taylor
FA inataka kuchunguza matamshi hayo kabla ya kuamua ni hatua gani kama ipo inaweza kuchukuliwa.
Uteuzi wa mwamuzi huyo Taylor, umekosolewa na Kenith Hackett,mkuu wa Bodi ya marefarii Professional Game Match Officials Ltd.
By:bongo5
Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video
0 comments:
Post a Comment