Ile movie ambayo ilikuwa inataka kuelezea maisha ya Nay wa mitego kutoka kwa Niva, imepigwa chini kutokanana sababu hizi.
Unakumbuka kipindi kile Nay wa Mitego ameachia ngoma yake ya “Shika adabu yako” ambayo iliwatoa mapovu wasanii wenzake na kumake Headline kila kona, Sasa moja ya victim wa ngoma hiyo namzungumziaNiva, yeye alitangaza vita na Nay wa Mitego na kusema kwamba ameandaa script ya movie ya maisha yaNay wa mitego kumuelezea Nay kwa harakati zake ambazo anafanya, Bad newz ni kwamba Niva amesema movie hiyo haitaweza kutoka licha ya kupoteza mamilioni katika kuitengeneza
Akiongea na Perfect255, Niva alisema kwamba viongozi walikaa na kumwomba asifanye hiyo sinema japo alikuwa ashaifanya kwahiyo wakamuomba asiitoe tena japo movie anayo geto kwake nzima, full movie na kuhusu mkwanja alioupoteza, Niva amesema kwamba Mamilioni yaliyopotea kwake sio hasara
“Viongozi walikaa wakanisihi nisiifanye hiyo sinema japo nilikuwa nishaifanya kwahiyo wakaniomba tena nisiitoe, kwahiyo ninayo naangalia mwenyewe geto, movie kamili kabisa…………hasara hamna mi siku zote sinaga hasara….director wangu mkubwa na producer wangu mkubwa walinishauri hivyo”Alisema Niva
0 comments:
Post a Comment