Saturday, September 24, 2016

Fahamu umuhimu wa kumfanyia mtoto massage


Mtoto anapozaliwa kuna vitu vingi anatakiwa kufanyiwa ili apevuke vizuri na nimekutana na hili moja kati ya hayo ambalo nsingependa likupite mtu wangu, Kituo cha habari cha Kenya ‘Citizen’ kimeripoti kuwa ukandaji wa mtoto mdogo unamanufaa mengi ambayo yametajwa kama kumtuliza mtoto, kumsaidia kuimarisha viungo vyake na kumpa usingizi mnono mtoto mchanga. 
The post : Fahamu umuhimu wa kumfanyia mtoto massage appeared first on millardayo.com.

0 comments:

Post a Comment