Baada ya kufanya vizuri katika chati za Billboard 200 kwa kuitoa Album ya Drake “Views”, Dj khaled anatarajia kuzindua kitabu chake cha “The Keys”.
Album ya “Major Key” ni moja ya Album ambayo imemletea mafanikio makubwa sana Dj Khaled tangu mwaka 2007 alipotoa Album ya “We The Best”, Sasa Good Newz nyingine ni kwamba Dj Khaled ametangaza ujio wa kitabu chake cha kwanza cha “The Keys”.
The Keys ni kitabu ambacho kitakuwa kinaelezea philosophy ya mafanikio ya Dj Khaled na kuelezea historia ya maisha yake, kitabu hicho kinatarajiwa kuingia sokoni November 22

0 comments:
Post a Comment