Wednesday, September 21, 2016

CHELSEA JANA IMEFUZU, ARSENAL NA LIVERPOOL YATINGA HATUA NYINGINE, MAN U NA MAN CITY LEO DIMBANI


CHELSEA JANA IMEFUZU






Hatua ya tatu ya kombe la ligi imecheza jana katika viwanja nane tofauti tofauti na kuweza kushuhudia klabu nane zikifuzu
hatua hii na kwenda hatua ya nne ya kombe
hili la (EFL) English Football League.
Klabu ambazo zilifanikiwa kufuzu katika
hatua hizi ni pamoja na Chelsea ambao wao
walikuwa katika uwanja wa Leicester City
King Power baada ya kuwafunga goli 4-2 na
mchezo mwingine ni Arsenal ambao walishinda goli 4-0 pamoja na Liverpool wao walipata goli 3-0.
MATOKEO YA MICHEZO YA JANA
•Afc Bournemouth 2-3 Preston (AET)
• Brighton 1-2 Reading
• Derby 0-3 Liverpool
•Everton 0-2 Norwich
• Leeds 1-0 Blackburn
• Leicester City 2-4 Chelsea
•Newcastle United 2-0 Golves
•Nottingham 0-4 Arsenal
Hata hivyo leo tena ligi hii inaendelea kwa takribani michezo nane kama ilivyo siku ya jana. Na ratiba hii hapa:
MICHEZO YA LEO EFL
•Fulham V Bristol
Muda: 3:45 Usiku
• Northampton V Manchester United
Muda: 3:45 Usiku
• Qpr V Sunderland
Muda: 3:45 Usiku
• Southampton V Crystal Palace
Muda: 3:45 Usiku
• Swansea V Manchester City
Muda: 3:45 Usiku
• West Brom V Accrington
Muda: 3:45 Usiku
• Stoke City V Hull City
Muda: 4:00 Usiku
• Tottenham V Gillingham
Muda: 4:00 Usiku.


0 comments:

Post a Comment