Msanii wa muziki wa Kizazi kipya ambae pia ni mmiliki wa studio za High Table Sound, Barnaba Classic.
Barnaba amefunguka na kudai kuwa video nyingi za Bongo flava zinashindwa kupenya kimataifa kwa sababu ya Audio mbovu.
Akiongea kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm, Barnaba amedai sababu kubwa hasa ni wasanii kuwekeza zaidi kwenye Video na kusahau matayarisho mazuri ya Audio.
“Niwaombe tu wasanii wenzangu, hatuwezi
kutoboa kama tuna Audio Mbovu, lazima
tuwekeze pia kwenye audio, tunao maproducer wengi wazuri wa kufanya Mastering”.
kutoboa kama tuna Audio Mbovu, lazima
tuwekeze pia kwenye audio, tunao maproducer wengi wazuri wa kufanya Mastering”.
“Tuwatumie hawa maproducer, mi nashangaa sana video tunatayarisha kwa dola elfu 10 wakati Audio tunatumia dola elfu moja
pekee” Alisema.
pekee” Alisema.
0 comments:
Post a Comment