Thursday, September 22, 2016

BARAKA DA PRINCE NA SABABU ZA NISAMEHE KUWA ‘HITSONG’ (Audio)

Kila msanii ana sababu zake za kuachia ngoma yake kwa wakati husika, kwa maana anakuwa na  shabaha zake kwa mashabiki wake, dhidi ya ujumbe aliopanga kuufikisha kwao ili waweze kuupokea ujio wake vizuri.

Baraka Da Prince hivi karibuni aliachia ngoma yake mpya ya Nisamehe aliyo mshirikisha hitmaker wa Aje Alikiba, na kueleza kuwa aliamini ngoma hiyo itakuwa kubwa kutokana na sababu alizo zielezea vizuri kabisa kwenye Audio hapo chini.

0 comments:

Post a Comment