Thursday, September 22, 2016

Aika aeleza furaha ya Navy Kenzo kutajwa kwenye MTV MAMA 2016

Kwa muziki wa Afrika, tuzo za MTV MAMA ni kipimo cha mwanamuziki kufika katika hatua ya kuwa wa kimataifa.

Kwa Navy Kenzo, kutajwa kuwania kipengele cha kundi bora kwenye tuzo za mwaka huu ni ishara kuwa wamefika pazuri na kama wakiishinda kabisa, huo utakuwa ni mwanzo wa vitu vikubwa zaidi.
Tumepata furaha sana maana inaonyesha kwamba kipaji chetu na ubunifu wetu umetambulika Afrika nzima, Aika ameiambia Bongo5.

0 comments:

Post a Comment