Thursday, August 10, 2017

Diamond Platnumz na Alikiba kuamuliwa Nigeria nani mkali?...

Jana usiku majina ya wasanii waliochaguliwa kwenye vipengele mbalimbali vya tuzo za AFRIMA 2017 yametangazwa ambapo kwenye kipengele cha Msanii bora wa kiume kutoka Afrika Mashariki mahasimu Diamond Platnumz na Alikiba wamekutana tena kwenye kipengele hicho na ndiyo Wasanii pekee waliofanikiwa kuingia kwenye kipengele hicho.
Wasanii wengine kutoka Tanzania waliotajwa kwenye tuzo hizo ni Lady Jaydee, Nandy, Vanessa Mdee wote wapo kwenye kipengele cha msanii bora wa kike kutoka Afrika Mashariki.
Upigaji kura wa utaanza Tarehe 29 Agosti mwaka huu na tuzo zitatolewa tarehe 12 mwezi Novemba huko Lagos nchini Nigeria, Tazama Orodha kamili ya tuzo za AFRIMA 2017 hapa chini.
CategoryArtisteTrackCountry
Best Female Artiste, Central Africa
MontessLove Witta Gun ManCameroon
RenissMamamuhCameroon
EwubeFall 4 YouCameroon,
NsokiAfrica Unite (ft DJ Maphorisa & Paulo Alves )Angola
DaphneCaleeCameroon
MerveilleToiCameroon
BussuneAll Africa PartyGabon
Best Male Artiste, Central Africa
Maitre GimsTout DonnerDRC
HiroTon Pied, Mon Pied (ft Chidinma),DRC
Big NeloO Legado De LendaAngola
LockoSupporter (ft Mr Leo)Cameroon
Fally PupaEleko OyoDRC
JovieOu MemeCameroon
Anselmo RalphCasas ComigoAngola
Ke BlackBazardee DRC
Best Female Artiste, Eastern Africa
Julianna Kanyomozi I Am Still HereUganda
Chess Nthussi Give it to YouKenya
Victoria KimaniGiving You (ft Sakordie)Kenya
Lady JaydeeSawa Na WaoTanzania
Venesa MdeeCash MadamTanzania
Wayna WondersonnYou are not AloneEthiopia
NandyOne DayTanzania
Best Male Artiste, Eastern Africa
Diamond PlatnumzEnekaTanzania
Sinishaw LegesseSelam EthiopiaEthiopia
Qritiqual MalikaKenya
Kibrom BirhaneEskista (ft Nassmbu Barasa)Ethiopia
Henok Mehari BrothersFirkir YishalaEthiopia
AlikibaAje (ft M.I)Tanzania
OctopizzoTBT Kenya
Mura K.E Excuse My LanguageKenya
Best Female Artiste, Southern Africa
Sally Boss MadamBimbim (ft Busiwa)Namibia
Babes WodumoFamily(ft Mampintsha & Caspa Nyovest)South Africa
BusiwaIngqondSouth Africa
Lebo SekgoelaLion of JudahSouth Africa
Amanda BlackAmazuluSouth Africa
RuDownZimbabwe
ThandiswaNontosokoloSouth Africa
Best Male Artiste, Southern Africa
Hugh MasekelaShangoSouth Africa
AKAThe World is YoursSouth Africa
Nasty CDown South (ft Shay Shay & Ma-E)South Africa
Tay GrinTola (ft Vanessa Mdee)Malawi
EmteeWe up South Africa
Jah PrayzahWotora Mari (ft Diamond Platnumz)Zimbabwe
Ndoduzo MakhathiniIgaguSouth Africa
Best Female Artiste, Northern Africa
Ibitssam TiskatMenak Wla MeniMorrocco
Zaho Tant De ChosesAlgeria
Asmaa Lmnawar3ndou ZineMorocco
SherineKoul MaghaniEgypt
Zina DaoudiaSayidatiMorroco
Cheba MariaKheltiniAjgeria
Best Male Artiste, Northern Africa 
FnaireNgol MaliMorocco
French MontanaUnforgettableMorroco
BaltiWela LaTunisia
Tasmer HosnyYa Maley 3enyEgypt
L’algerino Les MonetessAlgeria
Saad LmjarredGhaltana Morocco
LacrimCollonel CarilloAlgeria
L’algerinoLes MonetessAlgeria
Best Female Artiste, Western Africa
Oumou SangareYare Faga (ft Toni Allen)Mali
AramideWhy so SeriousNigeria
Viviane ChididLon KelenSenegal
Yemi AladeTumbumNigeria
Seyi ShayYolo YoloNigeria
Tiwa SavageAll OverNigeria
Becca Na Wash (ft Patoranking)Ghana
Zaynab

Noctambule (ft Shadow Christ) Benin
Best Male Artiste, Western Africa
Runtown Mad Over YouNigeria
Mr EaziLeg OverNigeria
MHDLa PuissanceGuinea
Ycee Juice (ft Maleek Berry)Nigeria
Davido FallNigeria
SarkodiePain KillerGhana
WizkidCome Closer (ft Drake)Nigeria
DJ ArafatAgbangnanCote D’IVoire
TecknoRaraNigeria




TuandikieMaoniYakoHapaChini. 
Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video za kufurahisha na kuvunja mbavu.


0 comments:

Post a Comment