Jumatatu hii show ya ziara ya Ariana Grande ya “Dangerous Woman” imeingia dosari.
Ukumbi huo unauwezo wa kuchukua watu 21,000 na barabara zake zinaungana kituo cha treni cha Victoria kati kati mwa mji. Grande kupitia mtandao wa Twitter ameomnyesha kuhuzunishwa na tukio hilo kwa kuandika, “broken. from the bottom of my heart, i am so so sorry. i don’t have words.”
Naye Nicki Minaj ambaye ni mmoja ya watu wakaribu wa muimbaji huyo wa Pop, kupitia mtandao huo amempa pole kutokana na tukio hilo kwa kuandika, “My heart hurts for my sister, Ariana & every family affected by this tragic event in the U.K. Innocent lives lost. I’m so sorry to hear this.”
Wakati huo huo waziri mkuu wa Uingereza, Theresa May ametaja tukio hili kama kitendo cha kigaidi ambapo ni mara ya kwanza linatokea tangu lile la mwezi Julai mwaka 2005 ambapo zaidi ya watu 50 walifariki dunia mjini London.
Tuandikie Maoni Yako Hapa Chini. Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video za kufurahisha na kuvunja mbavu.
0 comments:
Post a Comment