Tuesday, May 16, 2017

CHELSEA YAENDELEZA SHANGWE ZA UBINGWA NA HIKI NDICHO WALICHOKIFANYA DHIDI YA WATFORD

Chelsea wameibuka na ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Watford usiku wa Jumatatu Uwanja wa Stamford Bridge. Mabao ya Chelsea yalifungwa na John Terry dakika ya 22, Cesar Azpilicueta dakika ya 36Michy Batshuayi dakika ya 49 na Cesc Fabregas dakika ya 88 wakati ya Watford yamefungwa na Etienne Capoue dakika ya 24, Daryl Janmaat dakika ya 51 na Stefano Okaka dakika ya 74.
Chelsea imefikisha pointi 90 baada ya kucheza mechi 37 na sasa rasmi ni mabingwa wapya, wakirithi taji lililoachwa wazi na Leicester City.

source:perfect255
Tuandikie Maoni Yako Hapa Chini. Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video za kufurahisha na kuvunja mbavu.

0 comments:

Post a Comment