Wednesday, March 15, 2017

Shavu lingine tena hili hapa kwa Wastara

Mwigizaji  nyota wa filamu Bongo Wastara Juma (Wastara Sajuki) leo siku ya jumatano alipanda ndinga na kuelekea nchini Swiden. Msanii huyo anaelekea nchini swiden baada ya kupata mualiko kutoka kwenye kampuni ya AIMUS ENTERTAINMENT L.T.D. Wastara anaongozana na Suleiman Barafu wote kwapamoja watashiriki kwenye filamu itakayokwende kwa jina la USIJISAHAU ni filami yenye maadili ya kidini. Sambamba na hilo pia Aimus Entertainment wamemuonganisha wastara na jumuia ya wanawake ijulikanayo kama ASOVs  ambayo ipo nchini Swiden wastara anakwenda  kutoa burudani mbali mbali pamoja na kutoa speach.



akisindikizwa na watuwake wa karibu Hatukwami Talent pamoja na Team Wastara








0 comments:

Post a Comment