Friday, March 17, 2017

Ratiba ya robo fainali ya UEFA Champions League 2016/2017

Mchana wa March 17 2017 shirikisho la soka barani Ulaya UEFA ndio lilichezesha droo ya robo fainali ya UEFA Champions League msimu wa 2016/2017 jiji Nyon Uswiss, najua kila mtu alikuwa na hamu ya kufahamu ni timu itakutana na timu ipi katika hatua hiyo ya robo fainali.
Timu nane ambazo tayari zilikuwa zimefuzu ni FC BarcelonaLeicester CityReal MadridJuventusBayern MunichMonacoBorussia Dortmund na Atletico Madrid, michezo ya robo fainali itachezwa April 11 na 12 na marudiano itakuwa April 18 na 19 2017.

Hii ndio robo fainali ya UEFA Champions League 2016/2017
  • Juventus v Barcelona
  • Atletico Madrid v Leicester City
  • Bayern v Real Madrid
  • Dortmund v Monaco

Source:millardayo
Tuandikie Maoni Yako Hapa Chini. Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video za kufurahisha na kuvunja mbavu.

0 comments:

Post a Comment