Tuesday, February 14, 2017

“AIM” YA NAVY KENZO NI BAMPA TU BAMPA

Kama hukupata nafasi ya kusikiliza Album ya Navy Kenzo “AIM” basi utakuwa umepitwa na utamu mwingi wa ngoma kali kwenye Album hiyo, Good Newz ni kwamba Navy Kenzo wameamua kuipeleka “AIM” to the Next Levo.
Soko la Album ni soko ambalo limekuwa kama ukimwi kwa wasanii na kuwafanya kushindwa kujaribu kuingia kwa kuogopa kufeli, Navy Kenzo ambayo inaundwa na Aika pamoja na Nahreel waliamua kushika usukani na kufanya kweli kwa kuachia Album yao ya “AIM” ambayo sasa wanaipeleka kimataifa zaidi.
Kupitia kurasa yao ya Instagram, Navy Kenzo wameposti ratiba ya ziara yao ya kuipeleka Album hiyo Duniani, Cheki ratiba nzima ya Navy Kenzo kuhusu Album ya “AIM”.


0 comments:

Post a Comment